Kwa katuni zaidi www.nathanmpangala.blogspot.com na https://www.facebook.com/NathanCartoonMagazine
Home
Unlabelled
KIBONZO CHA NATHAN MPANGALA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Katika Treni la msafara wa Utandawazi niliwahi kushuhudia Watu wenye Misimamo mikali wakiepekana na matumizi ya vitu kama:
ReplyDelete1.Televisheni na Radio
2.Simu za Mikononi
3.Intaneti
Mwisho wa yote ikaja kutokea wenyewe wakitumia na kupatikana kwa njia ya Simu!
Vivyo Hivyo ktk msafara huo wa FACEBOOK, TWITTER na BLOG hakuna Jinsi tutalazimika kuvitumia ni vile dunia ya sasa bila intaneti itafikia wakati hutaweza hata kununua Kiberiti kwa kuwa Sehemu za Mauzo zote POS (Point of Sales) muda si mrefu zitaunganishwa ktk Mitandao na Matumizi ya Fedha Taslimu ndio yanaelekea Ukingoni, Kiasi kwamba itafikia zama ambazo mtu akitoa Fedha watoto watakuja kushangaa!!!