Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sleepover kwa tamaduni za TZ haikubaliki. Mtoto anaruhusiwa kwenda kulala kwa jamaa za wazee tu. Nimegundua WaTZ walioko ughaibuni hawana jamaa karibu kwa watoto wao kwenda. Pia Ughaibuni hakuna ujirani na pia watoto wa Ughaibuni wakorofi. Pia sheria za Ughaibuni zinataka uhuru wa watoto. Ughaibuni mzazi kumpeleka mwanae wa kike kwa rafiki yake wa kiume ni jambo la kawaida. Pia watoto wa ughaibuni kufanya mapenzi na watoto wenzao ni jambo la kawaida. Pia ushoga ni jambo la kawaida ughaibuni!!

    ReplyDelete
  2. watoto wa Ughaibuni wakorofi ....tena sana

    ReplyDelete
  3. Kijiwe kinapooza kabisa yupo wapi Mwaipaja? Bila ya Mwaipaja hiki kipindi hakichangamki kabisa yule jamaa huongea points na yupo funny sana. Tafadhali mrudisheni awepo kila kipindi yeye na Yasin

    ReplyDelete
  4. achani kujiulizia wenyewe nyinyi. humukunaongelewa vitu vyamaana na vyenye akili hao uwezo wao na mada zinazoongerewa nitofa utikabisa michuzi endelea kutuletea mabadiliko ankal. hao wana piga kelele tu hatuwaelewi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...