Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Fimbo Buttalah akiwa na mabalozi wapya wa kinywaji kipya cha Club 07 Vodka Lemon kilichozinduliwa hivi karibuni katika Ukumbi Golden Jubilee Tower jijini Dar es Salaam ambapo kinywaji hicho kimeingia sokoni rasmi.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Fimbo Buttalah akizungumza machache wakati wa Uzinduzi kinywaji kipya cha Club 07 Vodka Lemon kilichozinduliwa hivi karibuni katika Ukumbi Golden Jubilee Tower jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau waliohudhulia uzinduzi wa kinywaji kipya kiitwacho Club 07 Vodka Lemon wakiyarudi magoma mara baada ya kufanyika uzinduzi huo.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...