Kaimu Meneja wa Kitengo cha kuzibiti Malaria Zanzibar (ZMCP) Mwinyi Issa Mselem akifafanu kitu juu ya mikakati ya kumaliza Malaria Zanzibar katika mkutano na Waandishi wa Habari, huko katika ukumbi wa kitengo cha kuzibiti Malaria mwanakwerekwe Zanzibar.
Mtaalamu wa mbu waenezao Malaria katika Kitengo cha kuzibiti Malaria Zanzibar (ZMCP) Khamis Ameir, akionyesha moja mbu waenezao Malaria katika mkutano na Waandishi wa Habari huko katika ukumbi wa kitengo cha kuzibiti Malaria mwanakwerekwe Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliokuwepo katika ukumbi wa kitengo cha kuzibiti Malaria mwanakwerekwe Zanzibar, wakifuatilia kwa makini taarifa ya Kaimu Meneja wa Kitengo cha kuzibiti Malaria Zanzibar (ZMCP) Mwinyi Issa Mselem hayupo pichani.
Mwandishi wa Habari Juma Abdallah wa Zenji Fm Radio akiuliza suali kwa Mtaalamu wa mbu waenezao Malaria katika Kitengo cha kuzibiti Malaria Zanzibar (ZMCP) Khamis Ameir (hayupo pichani) juu ya mikakati ya upigaji dawa huko katika ukumbi wa kitengo cha kuzibiti Malaria mwanakwerekwe Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga Maelezo Zanziabr).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. ZANZIBAR bila ya malaria inawezekana chapeni kazi.

    ReplyDelete
  2. Siyo KUZIBITI ni KUDHIBITI ndiyo kiswahili sanifu

    ReplyDelete
  3. Mikakati ni kuua mazalio ya tafadhali sio chandarua (net) za bush ndio kudhibiti hiyo ni biashara maana et hamzuii mbuu asikutafune na pili mbu hakutafuni ukiwa umelala tuu bali hata ukiwa umekaa unaanglia luninga ndio wanakushamblia mpaka basi. Kwa tafadhali yikao vifikirie jinsi ya kupunguza mazalio ya mbu hapo itasaidia kidogo. ALUTA CONTINUA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...