Home
Unlabelled
KUMBE HATA KWENYE HIZI,KUSHTUA KUMO....!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hatari na ikigoma huko juu inakuwaje? mauti
ReplyDeleteIkifikia hivyo hapandi mtu, kufwaa hapana leo!!!! Mi bado taka kuishi!!!
ReplyDeleteKama ndege yenyewe iko ardhini tu mambo yenyewe ndo haya, ikiwa angani jee.. Katu sipandi..
ReplyDeletesijawahi kufikiria hata siku moja kama ndege nayo inasukumwa lol!
ReplyDeleteJamani haisukumwi kwa ajili ya kuiwasha, ila ni kuihamisha toka sehemu iliyopo kwenda wanapotaka iwe, labda kwenye hanga la matengenezo ama kuweka mafuta ama sehemu ya kupandishia abiria. Ndege zote duniani husukumwa kwa ajili hiyo, ingawa mara nyingi kwa kutumia magari maalumu ila hizo ndogo ni nyepesi waweza isukuma kwa mikono au hata gari la kawaida.
ReplyDeleteAnony No.5 waeleweshe washamba hao!!
ReplyDeletewamedakia bila kujiuliza ina maana unaweza kuwalisha upumbavu wowote ule na wakakubali.
ReplyDelete