Hayaaaa..... moja .... mbiliiii ....... tatuuuu......... shtuaaaaaaaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hatari na ikigoma huko juu inakuwaje? mauti

    ReplyDelete
  2. Ikifikia hivyo hapandi mtu, kufwaa hapana leo!!!! Mi bado taka kuishi!!!

    ReplyDelete
  3. Kama ndege yenyewe iko ardhini tu mambo yenyewe ndo haya, ikiwa angani jee.. Katu sipandi..

    ReplyDelete
  4. sijawahi kufikiria hata siku moja kama ndege nayo inasukumwa lol!

    ReplyDelete
  5. Jamani haisukumwi kwa ajili ya kuiwasha, ila ni kuihamisha toka sehemu iliyopo kwenda wanapotaka iwe, labda kwenye hanga la matengenezo ama kuweka mafuta ama sehemu ya kupandishia abiria. Ndege zote duniani husukumwa kwa ajili hiyo, ingawa mara nyingi kwa kutumia magari maalumu ila hizo ndogo ni nyepesi waweza isukuma kwa mikono au hata gari la kawaida.

    ReplyDelete
  6. Anony No.5 waeleweshe washamba hao!!

    ReplyDelete
  7. wamedakia bila kujiuliza ina maana unaweza kuwalisha upumbavu wowote ule na wakakubali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...