Chissano John Nindi

Leo tarehe 28 augusti  ni mwaka mmoja (1) kamili  toka ulipotutoka bila neno la kwaheri.Chissano,uchesi uliokuwa nao unadhihirishwa na hii picha yako.Ulikuwa ni mpenzi wa kila mtu kwani ulithamini utu wa mtu.
Ni vigumu kuamini kuwa ni kweli haupo nasi.

Kazi ya Mungu haina makosa. Tukijiuliza sana kwanini alikuchukua wakati tulikuwa tunakuhitaji sana tutakuwa tunakufuru. Tunajaribu kujifariji kwa kuamini kuwa alikuchukua kwavile alikupenda zaidi yetu. Tunajitahidi kujiridhisha kuwa huko ulipo unapata pumziko la amani. Japo haupo nasi kimwili tupo nawe kiroho siku zote.

Unakumbukwa na ndugu zako wote,jamaa na marafiki zako.
Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe,amen.

PUMZIKA KWA AMANI CHISSANO  NA TUTAKUKUMBUKA DAIMA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. RIP Chissano, nakukumbuka SUA na uchesho wako. Kyaruzi - BVM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...