Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mbinga Magharibi Capt. John Komba, bungeni mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka bungeni mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, ambaye pia ni Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma leo.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


BUNGE LOTE NA MIJADALA YOTE MNATUONYESHA PICHA TU ZA WAZIRI MKUU, JE NINI KIMEONGELEWA MBONA HAMTUPI HABARI SASA
ReplyDelete