IMG_3861Waandamanaji wakiwa na bango la Martin Luther King katika maadhimisho ya miaka 50 tangu Martin Luther King kutoa hotuba maarufu "I have Dream" katika harakati za kudai haki za kiraia kwa weusi Marekani yaliofanyika Jumamosi katika jiji kuu la Marekani Washington Dc. IMG_3821Waandamanaji Ruth May na Shawna May wakishiriki maandamano haya ya kihistoria kuadhimisha miaka 50 tangu Martin Luther King alipoandamana Dc na kutoa hotuba yake maarufu "I have a Dream". IMG_3841
Sehemu ya kundi la waandamanaji wakielekea kwenye eneo la tukio. IMG_3823
Wananchi wa Dc walitoa yao ya moyoni wakiwa na mabango mbali mbali kwenye maandamano ya miaka 50 tangu mwanaharakati wa haki za kiraia Martin Luther King kuandamana mwaka 1963. IMG_3857
Wamarekani weusi wanapiga ngoma pia hapa wakisheherekea kwa ngoma za asili.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hakuna virungu wala mabomu ya machozi,mbwa wala farasi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...