Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)na Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe Tundu Lissu, akiwahutubia wananchi wa mji wa Songea, katika mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya chama hicho, kujadili rasimu ya katiba mpya, uliofanyika mjini Songea.
  Mmoja wa wakazi wa mji wa Ludewa, Thadey Ngairo, akitoa maoni yake kuhusu katiba mpya, mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe Freeman Mbowe, wakati wa mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya chama hicho wa kujadili katiba mpya mjini Ludewa.Picha na Joseph Senga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...