Kibo Commercial Complex lililopo maeneo ya Tegeta pembeni mwa barabara ya Bagamoyo Road ni moja tu ya majengo mengi ya biashara yanayomea kwa kasi pembezoni mwa jiji la Dar es salaam ambalo muda si mrefu ujao utakuwa hauna City Centre tena. Hvyo sio kweli kwamba majengo mapya yote yanajengwa 'Posta'
Ni mjengo wa nguvu. Hata ukumbi wa muziki na mikutano pia umo humo
Benki ya CRDB imesogeza huduma zake kwa wadau wa maeneo hayo ya Tegeta





What is a definition of "commercial complex"? this building looks a bit small to me.
ReplyDeleteJamani tusiwakatishe tamaa wenzetu waliojaribu. Huo ndio mwanzo tu. Hongera sana mdau kutuwekea picha hizi na sisi tunaokaa Tegeta tumefurahishwa sana na maendeleo haya. Hongera Msaki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteBeautiful. Maendeleo mazuri sana. Very modern architecture.Size sio hoja. Hii ndio sehemu ambayo inatakiwa kuendelezwa. Wale wanaobomoa majengo pale Samora wameonyeshwa sehemu hii?
ReplyDeletemdau wa juu hapo fika kwanza kwenye mjengo kisha ndio useme looks a bit small to you, hapo kuna vitu vingi sana kaka kuna lounge ambayo hata town hakuna, ninght club kubwa sana supermarket bar nyingi tu ndani maduka ya kila aina bank na kadharika yaani kwenda mjini ni kutaka tu au kwa shida maalum au kikazi.
ReplyDeleteHivi Tegeta iko nje ya Dar es Salaam?
ReplyDeleteS/he who hesitates is lost......Rais Benjamin Mkapa alikuwa akisisitiza sana "kuthubutu", kwamba wale wanaothubutu ndio aghalabu huwa wanafanikiwa.Mimi binafsi(maoni yangu) naona huyo mwenye Complex AMETHUBUTU sitaki kuingia kwenye malumbano ya Ukubwa na Udogo.
ReplyDeleteDavid V
huyo anasema dogo kwani wanaingia tembo humo huenda yeye hata banda la sigara tu hana
ReplyDeleteMdau wa Kwanza na Kiingereza chako cha kuombea maji, wewe UMEWEKEZA BILIONI NGAPI (tena ziwe fedha za halali) NA KUJENGA JENGO LENYE GHOROFA NGAPI?
ReplyDeleteSIO ULETE KEJELI, JEURI NA DHARAU ZAKO HAPA WAKATI UWEZO WENYEWE WA KUJENGA UNATEGEMEA UKAUZE MADAWA YA KULEVYA HUKU UKIMDHALILISHA RAISI JAKAYA KIKWETE NJE YA NCHI?
TUACHE RADHARAU!!!
Halo halo Majuu !
ReplyDeleteNa sisi Bongo tuna wa Bipu kwa Mijengo, kazi kwenu bebeni Mabox mje na fedha za kutumia hakuna sababu kwenda Visiwani Majuu kwa Utalii wakati matanuzi yako Bongo.
Ni kweli hilo jengo halifikii hadhi ya commercial complex. I have seen it. But kibongo bongo tumejivuta. It is a good starting point. Najua kuna mipanga kamambe ya proper commercial complex maeneo ya beach kule chini. Sijui kama washaanza hiyo project. Its all positive stuffs. Tutafika tu.
ReplyDeleteMdau wa 1 na wa 10,
ReplyDeleteMnategemea nani aanze ujenzai wa Miradi hiyo kama sio ninyi?
Muache Hulka mbovu ya matumizi mabovu ya fedha na Mipango BUTU ya kimaisha kwa kukimbilia ununuzi wa magari na anasa badala ya kudunduliza na kuwekeza Mitaji ili mfike mbali kwa kufanya mambo makubwa mkitumia REGULAR/ ORDINARY SAVINGS ZENU.