Balozi Seif Iddi, Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar(katikati) akisilikiliza maelezo ya Kitaalam toka kwa Cpl. Yohana namna ufugaji nyuki unavyofanyika kwa kutumia Mizinga ya kisasa alipotembelea Banda la Jeshi la Magereza kabla ya kufunga Maonesho ya Nane Nane Kitaifa leo Agosti 07, 2013 Dodoma( wa kwanza kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Rehema Nchimbi.
Balozi Seif Iddi, Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar(kushoto)akiangalia Kofia Maalum inayovaliwa wakati wa kulina Asali ili nyuki wasiweze kukushambulia leo alipotembelea Banda la Jeshi la Magereza kabla ya kufunga Maonesho ya Nane Nane Kitaifa, Nzuguni Dodoma(kulia) ni Mtaalam wa Ufugaji nyuki wa Jeshi la Magereza, Cpl. Yohana(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...