Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti 6,2013. Kushoto ni Mkewe Mama Tunu Pinda.
Baadhi ya Watanzania waishio London wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo Londoni Agosti 6, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Dr.Abdallah Saleh na Mohamed na Mohame Ali Saleh ambao walikuwa ni miongoni mwa Watanzania waishio Uingereza waoshiriki katika mkutano ulioitishwa na Waziri Mkuu kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti 6, 2013.


sasa huu mkutano uliitishwa lini?
ReplyDeletembona wengine hatukujua, ndo tunaona picha tuuu kwenye blog hii.
ni hayo tu
Mdau Oxford Circus.
mdau wa kwanza kwa sisi ambao hatujikombi kombi kwenye vyama vya siasa basi huwa hatualikwi, wao wanaalikana kwenye vikao vyao vya chama, it is utter stuoid as we are all Tanzanians.
ReplyDeletewadau hapo juu mkutano ulitangazwa, hebu cheki michuzi humu ya two/three days ago utaona bado lipo tangazo
ReplyDeleteano 1&2 poleni ndugu zetu kwa kutopata nafasi ya kuingia mitandao ya habari na kufahamu ugeni wa waziri mkuu labda swaumu
ReplyDeleteiliwabana,hata sisi ndugu zenu wa scandinavien tulipata habari za
kikao cha waziri mkuu huko London kupitia issa michuzi blogg.
mikidadi-denmark
Wadau wa blog hii, hii ziara ilitangazwa.
ReplyDeleteLabda hamkupita kibaraza hiki ila je Video hakuna walau tujue walichojadili? ama SIRI?
aaaaa elizaaaaaaaaa
ReplyDelete