Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Ombeni Y. Sefue akijiandaa kuongea na Waandishi wa Habari waliojikusanya jioni hii kuhusu Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Wapya, jijini Dar es Salaam. Pembeni kushoto ni Bw. Salvatore Rweyemamu, Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu.
NAIBU MAKATIBU WAKUU
What happened to patrick.Mpiga kazi kwelikweli
ReplyDeleteKatibu Mkuu wizara ya afya bado kuna tatizo pale...
ReplyDeleteHiyo wizara ahiitaji just an economist....kwa nchi kama yetu tunahiitaji mtu aliyebobea kwenye health planning, health economics, health policy, na health systems....
Hivi Tanzania hatuna watalaam wenye hizo qualifications..
Ndiyo maana we are not doing well kwenye afya, na mambo yanazidi kuwa ovyo