Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akizungumza na wananfunzi wenzake wa Chuo cha Diplomasia, baada ya kufuturu wakati alipowaalika katika futari ya pamoja kwenye Makazi yake Oystabay jijini Dar es Salaam, jana Agosti 3.
 Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, wakijisevia futari wakati wa hafla hiyo ya futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, kwa wanafunzi hao.
 Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, wakipata futari wakati wa hafla hiyo ya futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, kwa wanafunzi hao
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Kike wa Chuo cha Diplomasia, baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Kiume wa Chuo cha Diplomasia, baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha za upendeleo na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam. 
  Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha za upendeleo na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam. 
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha za upendeleo na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Naomba sana kuwa Blog yetu hii iwe ni nguzo muhimu ya ukuzaji wa lugha yetu adhimu ya Kiwahili. Binafsi ninakubaliana na matumizi ya maneno yenye utani kama 'Barabara ya Morogoro Road, nirthday ya kuzaliwa kwake, &c' lakini kamwe sikubaliana na matumizi ya maneno mfano wa 'Dipromasia' ambalo limetumiwa kwa mara zisizo hesabu hapa!!! Nadhani tuendelee na matumizi ya neno ' Diplomasia' kama lilivyo!!!!!

    ReplyDelete
  2. dipRomasia, wajameni msikichafue Kiswahili chetu.

    ReplyDelete
  3. Chuo cha Dipromasia ndiyo Chuo cha Diplomasi pale Kurasini, Jijini Dsm??

    ReplyDelete
  4. Ni Diplomasia

    ReplyDelete
  5. chuo cha DIPLOMASIA

    ReplyDelete
  6. Jamii yetu imekua ya watu wanaoona matatizo tu.....very negative.......ni kweli kuna spelling mistake...lakini katika habari hii ni hicho tu ambacho umekiona.......inasikitisha.....

    ReplyDelete
  7. Wahenga wanasema "it is easier to criticize than to constructive contribution". Hapa mambo wakai mwingine tunayapata ni ral time. Please toeni nafasi ya some grammatical errors here and there!!!!

    ReplyDelete
  8. Wewe mtoa maoni wa kwanza mbona na wewe umeandika "lugha yetu adhimu ya kiwahili" unapowakosoa wenzio na wewe unarudia yaleyale. Sio kiwahili ni KISWAHILI.

    ReplyDelete
  9. No No No! STOP! anaonymous hapo juu sio 'negative' tunaangalia matumizi ya lugha. Siku hizi watu hawajali matumizi sahihi ya Kiswahili! Watu utafikiri hawakuenda shulE. hao hao wanaosema "dipromasia" Kingereza nacho wanatamka hovyo hivyo! najua ni athari za lahaja lakini baada ya kwenda shule inabidi kutambua na kutamka maneno sahihi! Sasa hawa wkienda nje Wako "I have two blothers" Uzembe gani huu!

    ReplyDelete
  10. Mnasoma diplomasia halafu mnataka kutusomesha utumbo. Unapoandika kwa ma2mizi ya jamii epuka vitu ovyo ovyo kama hizo 'spelling mistakes' na na kiingereza kibovu. L na R kuchanganywa ni ulegelege na uzembe tu, Fikiria kuchanganya glass na grass, play na pray,ajali na ajari(ovataim). Acheni kulea uzembe, makabila kama wafipa hawana R lakini Pinda ameweza kudhibiti, pia wahaya lakini Askofu Kilaini ameweza kudhibiti ulimi wake, wengine mnashindwa nini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...