Mhe. Waziri Bernard K. Membe (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiingia rasmi katika Ofisi za Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo mjini Dar es Salaam. Kulia ni Mhe. Balozi Rajabu Gamaha, Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Mhe. Waziri Membe akiwa katika mazungumzo na Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Mhe. Jaji Warioba akimkaribisha Mhe Waziri Membe wakati wa mazungumzo yao kuhusu uraia wa nchi mbili.
Mhe. Waziri Membe akielezea kuhusu suala la uraia wa nchi mbili.
Mhe. Jaji Warioba akiwa na Dkt. Salim Ahmed Salim, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Tume ya Katiba, Katibu wa Tume ya Katiba na Naibu Katibu Mkuu wa Tume ya Katiba.


Tatizo la Watanzania ni ukiritimba katika hili suala la uraia wa nchi mbili. In US the population ya Wayahudi ni less than 10% lakini haohao ni more than 1/3 ya masenetors alafu mnashangaa kwanini Israel inaongoza kupokea misaada ya US. Huu US kwasasa watu wana mpaka wajukuu ambao wanaweza kuwa Obama wa miaka ijao. Bakini na uduwanzi wenu kwamba wamarekani wanautaka uraia wa Tanzania. I never ever ever seen somebody denying US citizenship for Tanzanian citizenship kama huyo si felon na anakimbia mvua huku US
ReplyDeleteJAMANI ACHENI KUWADANGANYA WANANCHI KWA KUTUMIA MANENO YA SIASA ZENU ZILIZOPITWA NA WAKATI! KUBALINI AU KATAENI DUNIA SASA HIVI INAKUWA KITU KIMOJA! ULISIKIA WAPI MTANZANIA ANAKOSA KUTIBIWA AKIWA HUKU ULAYA?
ReplyDeleteHUKU HAKUNA MTU ANAEKOSA MATIBABU AU ELIMU! KWANZA WAZUNGU UKIWA HUKU KWENYE NCHI ZAO KITU CHA KWANZA NI LAZIMA WAKUSOMESHE UJUE LUGHA YAO.
NASHANGAA SANA UNAPOSEMA WATU WANAKOSA HUDUMA ZA AFYA NA ELIMU!
HATA WAKIMBIZI WA NCHI YOYOTE ILE LAZIMA KWANZA WAPIMWE AFYA ZAO ILI WASIJE KUAMBUKIZA MAGONJWA HATARI KAMA WANAYO, HUO ULIOSEMA SIO UKWELI KABISA, TUNAJUA MNAOGOPA KUTOA URAIA WA NCHI MBILI KWA SABABU NYINYI HAMNA UWEZO WA KUISHI HUKU! KUHUSU WATU KUJILIPUA HIYO NI UAMUZI WA MTU KWANI UMESHAONA MARAISI WA NGAPI WA NCHI TOFAUTI DUNIANI SASA HIVI NI WAKIMBIZI?
AU RAISI AKIOMBA UKIMBIZI WA NCHI NYINGINE YE KWAKE NI SAWA TU?
YESU, MWANA WA MUNGU, ALIKUWA MKIMBIZI WA NCHI YAKE, AKAKIMBILIA MISRI, AU JINA LINGINE EGYPT, MIAKA 2000, ILIYOPITA PAMOJA NA WAZAZI WAKE! MPAKA MFALIME HERODE, ALIPOKUFA NDIO WALIRUDI TENA KWAO!
DUNIA HII HAINA MWENYEWE, HUKU SISI TUNAPATA HUDUMA ZOTE ZA MUHIMU KUSHINDA HATA NYINYI VIONGOZI.
MTAENDELEA SIKU ZOTE KUOMBA MISAADA HUKU KWA WAZUNGU BADALA YA KUKUBALI URAIA WA NCHI MBILI ILI WATU WENYE UBONGO ULIOFUNGUKA ZAIDI TULETE MAENDELEO KAMA TULIYONAYO HUKU SASA HIVI! NAONA HURUMA SANA WATU WANAKUFA SANA KWA MATATIZO YA FIGO!
WAKATI HUKU WATU WANAISHI NA MATATIZO HAYO ZAIDI YA MIAKA 30!
WAKIUMWA VIONGOZI WENU WOTE WANAKUJA KUTIBIWA HUKU KWA GHARAMA KUBWA SANA AMBAZO MNGEKUWA MNAKUBALI USHAURI NA KUTOA URAIA WA NCHI MBILI MAGONJWA MENGI SANA YANGETIBIWA HAPO HAPO!
NASEMA HIVI TUTAENDELEA KUISHI HUKU NA KUFURAHIA MAISHA TUNAYOPATA, KULIKO MAISHA YA KUBAHATISHA NA BILA USALAMA HAPO NYUMBANI.
NAJUA MICHUZI, HUTAIWEKA HII, LAKINI HATA WE UNAJUA HALI HALISI YA MATESO YA WATU WENGI HAPO NYUMBANI.
kazi mtaibiwa mkiruhusu---ulokusudiwa hapo ni wa tanganyika na znz
ReplyDeleteSijaona mchango wa mawazo yakujenga kwa watoa comments hapo juu na badala yake ni malalamiko tu yasiyokuwa na kichwa. Serikali lazima ijiridhishe na hayo maamuzi siyo suala la kuamka na kusema tunaruhusu uraia wa nchi mbili. Swali la kujiuliza kuna nchi ngapi ambazo hazijaruhusu kwa sasa? Naona wadau wanakandia kwao badala ya kutoa mawazo yao chanya, sawa unanufaika na maisha Ulay/Marekani basi endelea nayo hayo. Nasisi tunaendelea na Tanzania yetu, ukirudi yamkini utaona tupo mbali zaidi yako kimaendeleo shauri yako.
ReplyDeleteuraia wa nchi mbili ni muhimu angalia wakenya na waghana wanavyotuacha watu wanawekeza nchi zao, kuna mafootballers wafanya biashara na kadhalika zile zama za kisocialist inabidi tuziache jamani, tunang'ang'ana tu watu tupo palepale umaskini unazidi.
ReplyDeleteMzee Warioba is really one of us, the way he dresses, sits etc etc, Cant't we bring him back as the next President
ReplyDeleteFaida za Uraia wa nchi MBILI:
ReplyDelete1.Uwekezaji na kukuza Uchumi,
2.Uhamishaji wa Tekinolojia na haki,
3.Utaalamu na nguvu kazi,
4.Mchanganyiko wa vizazi,
5.Uwazi wa mambo na maendeleo.
Hasara za Uraia wa nchi MBILI:
1.Uhujumu wa Uchumi na ukwepaji Kodi,
2.Uhalifu na Uhaini,
3.Uchanganjai wa Kizazi na nasaba,
4.Hatari ya kutawaliwa na Wageni,
5.Kuibiwa nguvu kazi.
HIVYO NI WAZI HILI SUALA LA URAIA WA NCHI 2 LINA FAIDA NA HASARA ZAKE LA MUHIMU TUCHUKUE FAIDA NA UPANDE W HASARA ZIWEKWE KANUNI KALI ZA KUDHIBITI ATHARI MBAYA ZA HIZO HASARA. (Mfano ktk Uongozi mwenye Uraia Pacha asiruhusiwe kuongoza Uongozi wa ngazi za Juu nchini)
NAFIKIRI UPEO WAKO NI MDOGO NA RUSHWA UNAYOIPATA KILA SIKU IMEKUFANYA USAHAU WATU WENGINE NA KUTAKA KUJINUFAISHA WEWE PEKE YAKO NA NDUGU ZAKO!
ReplyDeleteSASA KWA TAARIFA YAKO, HUKU WATU WANA ANGALIA MAISHA YA WATU WENGINE KWANZA, ILI VIZAZI VIJAVYO VITUMIE MAENDELEO WALIYOANDALIWA NA VIONGOZI WAO!
HAPO NYUMBANI MTU MMOJA ANAMILIKI MABILIONI YA PESA NA WATU WANAONA NI SAWA TU! MAISHA TUNAYOISHI HUKU WATU WOTE NI SAWA HAKUNA MTU ANAEMPITA MWENZAKE! SASA NYINYI HUKO MMEZOEA KUTUKUZWA KAMA MIUNGU WATU! HAYO MAMBO YALISHAPITWA NA WAKATI! MSIOGOPE KUWAPA WATU HAKI ZAO ZA MSINGI KWA KUOGOPA WATU WATAELIMIKA NA KUPOTEZA VYEO VYENU! MAENDELEO KWA WATU WOTE NDIO JAMBO LA MUHIMU KULIKO WE KUJINUFAISHA PEKE YAKO!
UKIFA WEWE BASI KILA KITU KINAKUWA KIMEPOTEA! LAKINI HUKU HAKUNA KITU KAMA HICHO AKIFA MTU WENGINE WANAENDELEZA PALE ALIPOACHA NA MAMBO NDIO YANAZIDI KUWA BORA ZAIDI! WADANGANYENI WATU KWA KANGA NA PILAU ILI MUENDELEE KUTAWALA! HAMUWEZI KUBADILIKA KWA KUWA MMESHAZOEA KUENDESHA NCHI KWA KITU KIDOGO! SI TUNAKULA MALIPO YETU YA UTAWALA WA WAKOLONI MANA NYI MMESHINDWA KUDAI MALIPO YA MABABU ZETU WALIOTESWA ACHENI TUFAIDI TU WALA HATUTAKI TENA URAIA WENU WA NCHI MBILI KWA KUWA MTAWALA MKUU ALISHATOA JIBU SIKU NYINGI WA ULAYA NA AMERIKA WALE HUKU NA WATANZANIA WALE HUKO KWENU KWENYE UJAMBAZI NA RUSHWA KUPITA DUNIA NZIMA.