Mwakilishi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) anayefanyia kazi nchini Tanzania Andrew Rebold, akielezea kufurahishwa kwake na juhudi zinazochukuliwa juu ya kutokomeza Malaria Zanzibar (kulia) Naibu Waziri wa Afya Dk. Sira Ubwa Mamboya, Afisa wa RTI kanda ya Afrika Mashariki Volkan Cakir kabla yakukabidhi pikipiki 10, huko katika uwanja wa Wizara ya Afya nje Mjini Zanzibar.
Baadhi ya maafisa mbalimbali wa Wizara ya Afya wakimskiliza Mwakilishi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) anayefanyia kazi nchini Tanzania Andrew Rebold (hayupo pichani) katika uwanja wa Wizara ya Afya nje Mjini Zanzibar.
Mwakilishi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) anayefanyia kazi nchini Tanzania Andrew Rebold akimkabizi helmet na pikipiki Naibu Waziri wa Afya Dk. Sira Ubwa Mamboya kwa ajili ya Afisa Wilaya wafuatiliaji wagonjwa wa Malaria, katika uwanja wa Wizara ya Afya nje Mjini Zanzibar.
Naibu Waziri wa Afya Dk. Sira Ubwa Mamboya akimkabizi funguo ya pikipiki mmoja wa Afisa Wilaya wa ufuatiliaji wagonjwa wa Malaria, huko katika uwanja wa Wizara ya Afya nje Mjini Zanziba (Picha zote na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...