Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais SMZ Fedha, Mipango na Uchumi Mh. Omar Yusuf Mzee hapo tarehe 29/7/13 alifanya ziara ya kikazi nchini Oman.
Wakati ya ziara hiyo Mh. Waziri Omar Yusuf Mzee(wa kwanza kushoto) alikutana na kufanya mazungumzo na Mh Yusuf bin Alawi bin Abdulla, Waziri anaeshughulika na Mambo ya Nje wa Oman(wa pili kushoto) huko nyumbani kwa mwenyeji wake katika mji wa Salalah katika Mkoa wa Dhofar kusini mwa Oman.
Mazungumzo hayo ambayo yaliyofuatiwa na karama ya Iftar, yaliyohusu masuala ya ushirikiano kati ya Zanzibar na Oman pia yalihudhuriwa na Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Oman, Mh. Ali Ahmed Saleh(wa kwanza kulia) "
Kitu gani kimefichwa hapo kwenye picha??
ReplyDelete