Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Mathias Chikawe akimsikiliza kwa makini Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mh. Dianna Melrose wakati Balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake mapema leo asubuhi (15/08/2013) kwa mazungumzo mafupi. Pia , Waziri Chikawe alitumia nafasi hiyo kumpa pole Balozi Melrose kutokana na tukio la kumwagiwa tindikali kwa raia wawili wa Uingereza huko Visiwani Zanzibar.
Home
Unlabelled
Mhe chikawe aonana na balozi wa Uingereza nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...