Bibi Pulido-Tan akimtambulisha kwa Balozi Mushy, Bi. Donna Celeste Feliciano-Gatmaytan, Kaimu Balozi wa Ufilipino nchini Kenya. |
Balozi Mushy akiwa katika mazungumzo na Bibi Pulido-Tan kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano wa kimataifa. |
Baadhi ya wajumbe kutoka Ufilipino waliofuatana na Bibi Pulido-Tan. |
Mazungumzo yakiendelea. |
Picha ya pamoja. |
Kila nchi inaipenda bongo.
ReplyDeleteHicho kinyago ni cha mpingo au ni boya(fake)? Kama jibu ni mpingo,basi kitakua ni kizito sana kanakwamba suala la safety lizingatiwe, maana kikiyumba kidogo kinaweza kuangukia wageni na kuwajeruhi.
Hivyo hakipaswi kuwepo hapo ndani labda kiwe kimefungwa na waya ngumu au minyororo ili kiwe stable.
Ni mawazo yangu tu..