Home
Unlabelled
MTEMVU ATOA MSAADA WA VYAKULA KWENYE VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA TEMEKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Shukrani mbunge wetu wa kudumu
ReplyDeletewananchi wa Temeke tumekukubali kwa
maendeleo na huduma za wasiojiweza.
Mabadiliko ya Temeke tunayaona uzidishe kuboresha wilaya ya Temeke tulisahauliwa miaka ya awamu zote za serikali zilizopita lakini tulikuwa wavumilivu sasa tunayaona matunda ya uvumilivu.
mikidadi-denmark
We mikidadi maendeleo ya temeke mwenzetu unayaona kupitia chanels gani uko denmark?Ni juzi juzi tu wananchi walikaa kikao kujadiri wimbi la watumiaji madawa ya kulevya na wizi ktk wilaya ya temeke,kuna mengi bado ni changamoto kubwa temeke usafiri ndio usiseme.
ReplyDelete