Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akiwakabidhi msaada wa vyakula watoto yatima wanaolelewa katika Kituo cha Dar Alqaama Tandika katika sherehe ya kutoa misaa kwa vikundi mbalimbali vya yatima, Dar es Salaam hivi karibuni.
                                        Akiwakabidhi watoto wa Kituo cha Hiyari Chang'ombe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Shukrani mbunge wetu wa kudumu
    wananchi wa Temeke tumekukubali kwa
    maendeleo na huduma za wasiojiweza.
    Mabadiliko ya Temeke tunayaona uzidishe kuboresha wilaya ya Temeke tulisahauliwa miaka ya awamu zote za serikali zilizopita lakini tulikuwa wavumilivu sasa tunayaona matunda ya uvumilivu.
    mikidadi-denmark

    ReplyDelete
  2. We mikidadi maendeleo ya temeke mwenzetu unayaona kupitia chanels gani uko denmark?Ni juzi juzi tu wananchi walikaa kikao kujadiri wimbi la watumiaji madawa ya kulevya na wizi ktk wilaya ya temeke,kuna mengi bado ni changamoto kubwa temeke usafiri ndio usiseme.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...