Edibily Lunyamila mchezaji aliyewika enzi hizo alonga na Vijimambo akiezelezea maisha ya mpira baada ya kustahafu na changamoto gani wanazokumbananazo na kitugani kifanyike ili kukuza soccer la Tanzania MSIKILIZE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Suala la kutothamini watu wetu hili nadhani ni hulka yetu iliyopo mwilini mwetu sisi watanzania,ugonjwa huu upo kila kitengo na kila fani si tu ktk mpira.Yawezekana ni sababu ya kutokea kwa vitendo vingi visivyo vya uzalendo mfano ubadhirifu n.k.Ni vizuri serikali kupitia idara zote ione kuna haja ya kuthamini watu wake kwa faida ya vizazi vijavyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...