Mshiriki wa Big Brother House Feza Kessy ametolewa muda huu katika mjengo akiwa Mtanzania wa emwisho aliyesalia kwenye nyumba hiyo.
Hii ni habari ya kusikitisha kwa Bongo ambapo wadau wamekuwa wakijitahidi kumpigia kura mwanadada huyu mcheshi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. It was so obvious for this dada to get booted out.

    She killed her game by thinking relationship in the house can help her

    ReplyDelete
  2. Tanzania wanawake kushinda ni ndoto..

    ReplyDelete
  3. Bora katoka badala ya kushiriki BBA ye kafuata mapenzi - ovyoooo kabisa. Ngoswe alisema PENZI KITOVU CHA UZEMBE - Feza alianza vizuri kabisa alipokuja kupagawa na lile dume la Bots utafikiri hajawai kumjua mwanaume toka azaliwe.Ah bora lakini yeye katokea BBA mlango wa mbele Nando yeye mlango wa nyumba tena na kandambili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...