Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifugua  Mkutano  Mkuu  na Mkutano wa mwaka wa Tanzania Private  sector Foundation (TPSF) kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Agosti 16,2013. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu na katikati na Mkurugenzi Mkuu wa TPSF, Gosfrey Simbeye
 Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu na Mkutano wa Mwaka wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua Mkutano wao wa mwaka na Mkutano Mkuu kwenye hgoteli ya Serena jijini Dar es salaam  
 Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu na Mkutano wa Mwaka wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na washiriki wa Mkutano wa mwaka na Mkutano Mkuu wa TPSF baada ya kuugungua  kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...