Balozi Mero na familia yake katika picha ya pamoja na baadhi ya maofisa wa Ubalozi, Geneva.
Balozi Mero na Mama Balozi baada ya kuwasili katika makazi yake
Balozi Modest Mero, akiweka sahihi kwenye kitabu cha wageni baada ya kuripoti rasmi ofisini, Ubalozi Geneva
Balozi na familia yake katika picha ya pamoja na maofisa na wafanyakazi wa Ubalozi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...