Mratibu wa Shindano la Redd's Miss Ilala 2013,Juma Mabakila (katikati waliokaa) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam (hawapo pichani), wakati akitangaza zawadi watakazopewa washindi wa shindano hilo litakalofanyika leo kwenye Ukumbi wa Golden Jubilee jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ninawaomba watayarishaji wa promotions za warembo muwe na kanuni zinazolenga kudumisha uzuri wa asili ya mwafrika, au uzuri wa kila mshiriki kwa asili yake. Hii ni muhimu ili kujenga true pride kwa watoto katika jamii. Kwa mfano nywele za kuunganisha (extensions) zisiruhusiwe, madawa ya kubadilisha rangi ya ngozi zisiruhusiwe. Tafadhalini sana mzingatie hili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...