Alhaji Yusufu Saidi Mfinanga wa Kibaha, Njuweni, mkowa wa Pwani pamoja na Mke wake Mama Mfinanga wamewaomba Watanzania kudumisha amani na upendo kwa kuondoa tofauti zetu za kidini kisiasa kwani kufanya hivyo Mwenyezi Mungu ataendelea kuijalia amani na baraka iliyokuwepo hapa nchini kwani kupendana kutaleta maendeleo katika nchi tuswali na kuheshimu mamlaka za serekali zilizopo kwani mafundisho ya dini zote yafundisha amani upendo na utii
Home
Unlabelled
SALAMU ZA IDDI TOKA KIBAHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...