FAMILIA YA BWANA SHANE OMARY BENDERA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA DR STELLA BENDERA KILICHOTOKEA JUMATATU USIKU KATIKA HOSPITALI YA MAMA NGOMA SINZA.
 
MIPANGO YA MAZISHI INAFANYWA NYUMBANI KWAKE OYSTERBAY.
 
TUNATEGEMEA KUFANYA IBADA YA MAZISHI KKKT MSASANI  SAA SABA MCHANA NA BAADAYE MAZIKO MAKABURI YA KINONDONI SAA KUMI JIONI SIKU YA IJUMAA TAREHE 16TH AUGUST 2013.
 
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WA UKOO WA BENDERA NA UKOO WA MWANRI.
 
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Poleni sana kwa msiba familia na ukoo wa Mzee Shane Omary Bendera na ya Mwanri.

    ReplyDelete
  2. Poleni sana familia ya Bendera na Mwanri ..tupo pamoja kwenye msiba wa mama yetu mpendwa
    "My heart still aches in sadness and secret tears still flow. What it meant to lose you, no one will ever know. Time may pass and fade away But memories of you will always stay". RIP Mama Kidee!!
    Peter - UK

    ReplyDelete
  3. Rest in peace aunt stella bendera

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...