
MIPANGO YA MAZISHI INAFANYWA NYUMBANI KWAKE OYSTERBAY.
TUNATEGEMEA KUFANYA IBADA YA MAZISHI KKKT MSASANI SAA SABA MCHANA NA BAADAYE MAZIKO MAKABURI YA KINONDONI SAA KUMI JIONI SIKU YA IJUMAA TAREHE 16TH AUGUST 2013.
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WA UKOO WA BENDERA NA UKOO WA MWANRI.
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE.
Poleni sana kwa msiba familia na ukoo wa Mzee Shane Omary Bendera na ya Mwanri.
ReplyDeletePoleni sana familia ya Bendera na Mwanri ..tupo pamoja kwenye msiba wa mama yetu mpendwa
ReplyDelete"My heart still aches in sadness and secret tears still flow. What it meant to lose you, no one will ever know. Time may pass and fade away But memories of you will always stay". RIP Mama Kidee!!
Peter - UK
Rest in peace aunt stella bendera
ReplyDelete