MHIFADHI mkuu hifadhi ya Taifa mlima Udzungwa Vitalis Uruka akitoa maelezo kwa watu waliotembelea banda la TANAPA ndani ya viwanja vya mwalimu Julius Nyerere maarufu Nanenane mjini Morogoro.Tanzania inajumla ya Hifadhi 16. 
KAIMU Mhifadhi Mkuu hifadhi ya Taifa Mikumi Dattomax Sellanyika akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo cha radio TIMES FM cha Jijini Dar es Salaaam Adam Hussein, pembeni ni Mhifadhi mkuu hifadhi ya Taifa mlima Udzungwa Vitalis Uruka.Tanzania inajumla ya Hifadhi 16,kwenye maonesho yanayoendelea ya Nane nane mkoani Morogoro.


"Maonesho"
ReplyDeleteHapo sawa. Naona sasa kifimbo cheza hana lake.