Kamera yetu leo imefanikiwa kuzinasa taswirazz mbali mbali ndani ya Jiji la Mwanza,ikiwemo hii ya Baiskeli kuovateki Pikipiki.
 Tatizo la Madereva wa Daladala kusimama hovyo ni la kila mahali hapa nchini,na wao hawana noma wala nini.
 Kipitata shoto cha Makutano ya Barabara ya Capripoint na Stesheni kikiwa bize kweli kweli.....
 Taswirazz ya Ziwa Victoria ashubuhi ya leo.
 Moja ya alama za Jiji la Mwanza ni Mawe haya yafahamikayo kama Bismark Rocks.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ziwa Nyasa Mwanza? lets be serious people

    ReplyDelete
  2. Acheni kukosoa. Kaandika kwa bahati mbaya.Badala ya kufurahia picha ni kukosoa tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...