Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Bi. Juliet Kairuki akitoa mada kwa wafanyabiashara kutoka nchini Thailand jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) akiwaelezea fursa mbalimbali za kiuwekezaji zilizopo hapa nchini wakati wa ziara ya Waziri Mkuu wa Thailanda Bi. Yingluck Shinawatra aliyeambatana na ujumbe wa wafanyabiashara hapa nchini hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Bi. Juliet Kairuki (kushoto) akibadilishana mawazo na mmoja wa wafanyabiashara kutoka nchini Thailand Bw. You, muda mfupi mara baada ya Rais Jaskaya Kikwete kumaliza kuzungumza na wafanyabiashara wa nchi hiyo na wale wa Tanzania, wakati wa ziara ya Waziri Mkuu wa Thailand Bi. Yingluck Shinawatra aliyeambatana na ujumbe wa wafanyabiashara hapa nchini hivi karibuni.
Sasajamani inamana sisi hatuwezi kufanya mengine tunataka kuwekeza kwa kila kitu inamana hakuna sie kitu tunachoweza kuwekeza wenyewe,,,nchi yetu imekuwa kama Genge la mboga za majani porini kila mtu anachuma tu.hiyo mikataba msipoisimamia freshi itakuwa kosa kubwa sana .
ReplyDelete