Familia ya marehemu Ramadhani Mwinshehe na Familia ya marehemu Kiembe binti Ndugumbi wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Bw. Sababu Ditopile Mzuzuri (pichani) kilichotokea tarehe 31/Julai/2013 katika Hospitali ya Regency,Dar es Salaam
Msiba utakuwa nyumbani kwao mtaa wa Tunduru,Ilala,nyumba namba 5.Mazishi yatafanyika tarehe 2 Agosti,2013 baada ya swala ya Ijumaa Kinyerezi,Dar es Salaam. Habari ziwafikie ndugu,jamaa na marafiki.
Innalillah wa Innaillahi rajjiun
Kwa mawasaliano
Bw. Tahadhari .S. Ditopile + 255 653 222220
Bw. Ramadhani Ditopile +255 712 659757
"INNALILLAH WA INNAILLAHI RAJJIUN"
ReplyDeleteMwenyezi Mungu weee jamani
kuondokewa ghafla na mdogo wangu nimeshikwa na masikitiko
sikuwahi kukutana naye muda mrefu
kila nikifika nyumbani tunapishana.
Najisikia vibaya kama nilipoteza
mwelekeo wa kumtafuta zaidi.
Poleni saana mke na watoto zake,kaka na dada zangu wote.
Nimemfahamisha daMkubwa anakuja toka London.Mimi na Mwinchande wa Canada pia tunakuja.
mikidadi-denmark