Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HAYA BANA,MIE NADHANI KWA MATATIZO KAMA HAYA YA MAGONJWA SUGU WENYEWE TUJUE IPO SIKU TUTAACHWA WENYEWE KWANI DUNIA INABADILIKA,SIKU YOYOTE RAFIKI YAKO ATAKUWA ADUI,AU ATACHOKA KUKUSAIDIA,AU ATAAMUA TU ,KUSAIDIA WENGINE,AU KWENYE NCHI RAFIKI KUNAWEZA KUTOKEA MABADILIKO KATIKA SERIKALI YA KIUONGOZI ANAYEINGIA AKAJA NA SERA YA NO MISADA TENA.CHA MSINGI TUTENGENEZE NCHI YETU WENYEWE ILI TUJITEGEMEE ILI KWA VIPENGELE VINGINE TUKIACHWA WENYEWE BASI TUSIMAME.

    ReplyDelete
  2. bongo bwana...kwani sisi kama nch ituanshindwa kufadhili hii miradi bila kutegemea vijisenti kutoka kwa wazungu? Tunaendesha magari makubwa na ya kifahari kwa hela za walala hoi lakini inapofika kufanya mambo ya muhimu tunabaiki kuomba omba tuuu !! mpaka lini jamani ? Taifa gani huru linashindwa hata kujilipia mambo ya msingi ? mbwembwe nyingi!! Tumwekuwa mabingwa wa kuomba omba kwa wazungu kwa kila kitu mpaka sasa tunamshinda mkongwe mwenyewe wa kuomba omba..MATONYA !! RIP...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...