Naibu Spika,Mh. Job Ndugai akipokea cheti cha kuhitimu mafunzo ya PROFESSIONAL PARLIAMENTARY AND LEADERSHIP DEVELOPMENT PROGRAMME kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya RisXcel ya Uingereza,Dr Sunny Ahonsi.Mafunzo hayo yalitolewa na jopo la wataalam wa Uongozi na Bunge toka Uingereza ns kushirikisha wenyeviti wa Bunge (Presiding Officers) toka Bunge la Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi, Mgeni Hassan Juma akipokea cheti chake baada ya kuhitimu mafunzo hayo yaliyofanyika Dubai.

Picha ya pamoja ya wahitimu wa mafunzo ya Uongozi wa Bunge baada ya kukabidhiwa vyeti vyao.Kutoka kushoto ni Mbunge wa Ilala ambae pia Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje katika Bunge na mmoja wa wenyeviti wanaoendesha Bunge, Mhe Mussa Azzan Zungu,Naibu Spika na Mbunge wa Kongwa Mhe.Job Ndugai,Mkufunzi wa masuala ya Bunge na Siasa toka Uingereza, Bi Marie Elizabeth Davis, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Mwenyekiti wa Bunge Mhe Dr.Mohamed Seif Khatib,Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya RisXcel iliyoendesha mafunzo hayo, Dr Sunny Ahonsi toka Uingereza,Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi, Mhe Mgeni Hassan Juma, Afisa Sheria na Katibu Mezani wa Baraza la Wawakilishi Bi Nassra Salmin na kulia ni Mratibu wa mafunzo hayo na Katibu wa Naibu Spika, Bw.Saidi Yakubu. Picha kwa Hisani ya Ofisi ya Bunge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...