Baadhi ya wanafunzi wa Vyo Vikuu wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, wakisafiri kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kusoma masomo ya Diploma.
Baadhi ya wanafunzi wa Vyo Vikuu wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, wakisafiri kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kusoma masomo ya Diploma. Kulia ni Mkurugenzi wa Universities AbroadLink LMT hapa nchini, Jony Kabetha.
Katibuni sana ila maisha sasa hivi magumuu.Miaka 6 iliyopota Mtu ulikuwa ukija USA unapata ID miaka 5 na Social security card ( hii muhimu kupata kazi kupata umeme simu ,kopa utakacho nyumba nk) sasa bila social huna maisha US .Sasa hivi student visa no social security mtapata Shida mnooo.Labda ndoa ya Makaratasi .Siwakatishi tamaa huo ndio ukweli,all the best
ReplyDeletePongezi sana Mkurugenzi jony Kabeta wa Abroad Link kwa kuwapatia Wanafunzi wa Tanzania uwezekanano wa Masomo ya Juu nchini Marekani!
ReplyDeleteWanafunzi muitumie nafasi adhimu kwa kusoma na sio kwenda kubadilisha Fani kwa kazi mbadala kama Ubebaji wa Maboxi na kadhalika.
Kuna chenye thamani zaidi ya Elimu?
Wewe anonymous WA kwanza acha kuwaogopesha watoto WA wenzako umewasikia wanataka makaratasi au kusoma. Acha waje wasome watajionea wenyewe japo ulichosema ni ukweli Ila kila mtu Ana bahati yake. Karibu USA NA mkifika mkazane NA kilichowaleta yaani kusoma
ReplyDeletewe anony wa kwanza, hawa wanakuja kusoma hawaji kuingia mtaani kama wewe. kumbuka kuna visa za aina nyingi na hiyo ya kwao ni ya shule na nafikiri ni full scholarship na siyo ya kuzamia kama wewe. na ukiwa shule full time unapewa social kama umesimama vile, yaonekana wewe uliogopa umande
ReplyDeletemiminimefurahishwa sana na ninawapongeza sana kwa bahati hiyo walioipata ndugu zetu. ila mimi ninacho wahasa ni kwamba wasiache kumcha Mwenyezi Mungu kila wakati. kila mmoja kwa imani yake. hasa wale wakristu wakatoliki msimsahau Mama yetu Bikira Maria awaombee. kwani yeye ndiye mwombezi wetu daima. salini rozari. kwani kwenye nchi za watu si kama hapa kwetu tz. unaenda popote bila kuulizwa na mtu yeyeto ilimradi usivunje sheria. kwa wenzetu bastola wanalala nazo kitandani. zingatieni hili
ReplyDeletesura za kurudi bongo kweli hizi mh!!!
ReplyDeleteNdugu yangu mtowa nasaha hizi hayo mambo ya kuomba wakishaingia USA sidhani
ReplyDeletemiminimefurahishwa sana na ninawapongeza sana kwa bahati hiyo walioipata ndugu zetu. ila mimi ninacho wahasa ni kwamba wasiache kumcha Mwenyezi Mungu kila wakati. kila mmoja kwa imani yake. hasa wale wakristu wakatoliki msimsahau Mama yetu Bikira Maria awaombee. kwani yeye ndiye mwombezi wetu daima. salini rozari. kwani kwenye nchi za watu si kama hapa kwetu tz. unaenda popote bila kuulizwa na mtu yeyeto ilimradi usivunje sheria. kwa wenzetu bastola wanalala nazo kitandani. zingatieni hili
Ivi kwenda USA ni kitu adhimu sana? naona walio wengi wanawapongeza si kwa kupata nafasi ya kusoma bali kwa kwenda amerika.Haya bwanasisemi nisije ambiwa nakatisha tamaa watu japo siku hizi kila kitu kipo wazi na ndugu zetu wa kijiwe cha ughaibuni kila siku wanatupasha.
ReplyDeleteMdau wa Scandinavia
wanaenda kusoma chuo gani na masomo(majors) gani?
ReplyDelete