Meneja wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa (kushoto) anashuhudia wakati Bi. Rukia Ali, mkazi wa Mbagala, Dar es Salaam anatia saini mkataba wa kupoea mpoko usio na riba ili kuendeleza biashara yake. Bi. Rukia Ali ni mmoja kati ya wamawake wajasiliamali 320 waliopokea jumla ya shillingi million ishirini kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa MWEI.
Meneja wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa (kushoto), akimuelekeza jambo Bi. Rehema Sraji, mkazi wa Mbagala, Dar es Salaam kabla ya kumpa mpoko usio na riba ili kuendeleza biashara yake. Bi. Rehema ni mmoja kati ya wamawake wajasiliamali 320 waliopokea jumla ya shillingi million ishirini kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa MWEI.
Bi. Rehema Sraji (kulia) mkazi wa Mbagala, Dar es Salaam, anatabasamu huku akihesabu kitita cha mpoko usio na riba aliyeupokea kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania. Bi. Rehema ni mmoja kati ya wamawake wajasiliamali 320 waliopokea jumla ya shillingi million ishirini kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa MWEI. Anyeshuhudia kushoto ni Bi. Rukia Mtingwa, Meneja wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Duh? unazitandaza ,wajanja wanakuangalia tu.
    Amani imekwisha kuweni makini na mambo ya pesa hadharani.
    Maelezo yangetosha kuwakilisha mada.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...