
Yesterday’s arrivals pushed the number of such returnees to 1,000 after Tanzanian authorities gave those they described as ‘illigal immigrants’ two weeks to leave the country.
The deadline passed yesterday and it remains unclear what the fate of those who were unable to beat it would be.
The evictees told Saturday Times that Tanzanian security personnel, including the army and police, as well as neighbours were combing the communities ordering everyone they perceive to be of Rwandan origin out of the country.
Some of the victims had lived in the east African country for more than 50 years.
Tanzanian authorities claim they are targeting those without ‘valid residential documents’ but some of those affected claim they had all the necessary documents – some alleged security agents had confiscated and destroyed them.
Hakuna kulegeza kamba,mpaka serikali ya Rwanda waombe msamaha,kwa matusi yao.
ReplyDeleteI am not sure what the law says but this looks inhumane especially for those who were born here and it is not their fault. I hope the government put this into consideration.
ReplyDeleteINALILAH WAINAILAYHI RAJIUN
ReplyDeleteSafi sana...hawa watu waondoke warudi kwao maana huwa wakikaa sana watakuja kuidai Tz yetu ni kwao.. mfano mzuri ni Kongo hao banyamulenge ni wahamiaji na walianza kama hivi tizama sasa ndo wanapigana kama m23...hongera JK kwa kuwafukuza hawa walowezi wembe i ule ule mpaka waishe wote na hata hao waliojipenyeza mikoani tuwafichue warudi huko kwao asap.
ReplyDeleteNchi yoyote inashauriwa kutoruhusu Wanyarwanda na Wasomali kulowea kwa wingi. Wana hulka ya magomvi na popote walipo kutakuwa na matatizo ya kudumu. Waondoke wote. Hongera JK kuliona hilo.
ReplyDeleteInasikitisha kwamba tuliruhusu wakae kwa muda mrefu na kinyume cha sheria muda wote huo. Na warudi tu kama wahalifu ila si kwa ajili ya ulevi wa damu wa kiongozi wao!
ReplyDeleteMdomo huponza kichwa!Mchuma janga hula na wakwao.Walidhani wanajenga,kumbe wanabomoa.
ReplyDeletewatanzania sisi ni wabaguzi tu, mipaka ya ukoloni isiwatenganishe jamani sisi ni waafrika ndugu wa damu
ReplyDeletesasa ndio mnakuja ulaya, nanyi mnadai haki sawa mpatiwe hadi hata na uraia wa nchi hizo za ulaya, lakini nyumbani wabaguzi wa kubwa!!
President Kikwete did not mince his words. He called on all illegal immigrants to either regularize their stay or leave. Which part of this directive is unclear? Marekani wanaiita "self deportation" kabla INS hawajakukamata! Iweje hawa wanadai wanakuwa targeted! Ndio. Ikiwa ni illegal shurti walengwe. Nchi yetu sio shamba la Bibi! Bravo Mhe Rais.
ReplyDeleteKuna na wengine wako Dar na wameshikilia ofisi za serikali na wao pia wamulikwe
ReplyDeleteDaar! Wengi hamjaliona wengine tumezaa nao.itakuaje sasa?ndugu zetu watakosa wake na watoto,hawa ni binadamu tunatakiwa kuagalia kwa kina otherwise will end up with conflict among ourself.
ReplyDeleteBy makungu abel
From sengerema mwanza
NASEMA KWA KIREFU KUTOKANA NA UMRI WANGU
ReplyDeleteSheria ya kimataifa ya kuwaondoa watu wanaoishi kinyume cha sheria nchini mwako inasema hivi taratibu lazima zifuatwe kama kuwasiliana na nchi ya pili mtu huyo anapotoka ili kuhakikisha uraia wake na mapokezi ya mtu huyo, pia haki za kibinadamu inabidi zifuatwe kama vile mtu huyo kuulizwa kama akirudi kwao nini kitamkuta, Article 49 of the Fourth Geneva Convention inawalinda hawa binadamu. hii sio deportation bali ni forcible transfer ambayo inatokea kama Islael na Wapalestina, Nimesikiliza hotuba ya Rais wetu ya mwezi julai, kiukweli kama una akili timamu huyu jamaa amelichukulia hili swala kwa ghadhabu na kalifanya swala binafsi, katika hotuba ametumia maneno kama 'mimi' 'wamenitukana mim' 'kusema mabaya kwangu' kiukweli watanzania tuangalie kwa makini wapi tunaelekea au wapi tunaelekezwa, 1969 Nyerere aliwakaribisha wapinga serikali ya Uganda waje waishi Tanzania na matokeo yake tukaingia katika vita na baada ya vita Obote tukamweka Rais ambaye alikua anakaa Tanzania kama mkimbizi, tumefanya hivyo Congo na Kabila, tukataka kufanya hivyo kwa Banda, nakumbuka nilikua nawafundisha watoto shuleni miaka ya sabini kwamba Banda ni mbaya, kumbe ni ugomvi binafsi na Nyerere. Watanzania tuwe makini sana, hakuna nchi inayopenda watu waishi kinyume cha sheria ila taratibu za kihaki za kibinadamu lazima zifutwe katika kuwarudisha hawa binadamu. huu unanikumbusha usemi usemao Ugomvi wa Mamba mtoni basi Dagaa walio karibu hurushwa nje ya mto. namaliza kwa kusema watanzania tusiongozwe na wanasiasa bali tuwaongoze wanasiasa.
Mungu ibariki Tanzania
Fahali wakigombana ni nyasi ndio zenye kuumia. Jamani binaadamu yo yote ana haki ya kuonewa huruma. Mimi sioni kama kuwafukuza italeta faraja kwa kosa ambalo limefanyika na kiongozi wao. Imagine being in their shoes, mtu ameshakaa ugenini miaka kadhaa kisha unarudishwa mahali ambapo pia patakua ugenini. Sisi Waafrika wote ni watu wa nchi moja isipokuwa wakoloni ndio waliotufanya tujione kuwa ni wageni wakati tukiwa kwenye maeneo mengine. Kwa kweli zoezi hili halimkomoi yo yote isipokuwa tunaongeza mateso kwenye roho za MnyaziMungu, roho ambazo tayari zina mateso mengi ya kutosha.
ReplyDeleteMimi nampongeza sana mheshimiwa Rais wasemao na waseme,JK ni mtu anayeona mbali sana wakati huu yakitokea haya kuna wanyarwanda wengi sana serikalini na wengine wanasiasa na hata jeshini,hii ni hatari sana tena sana,kitu ambacho nakiona hapa baada ya miaka kadhaa tungelikuja kutawaliwa nawanyarwanda,hawa watu wanaoongoza kuteka mabasi na kuua watanzania kila siku na wanatumia silaha nzito,nimajasiri hawaogopi kitu ni hatari sana,mimi namuomba Mheshiwa Rais asafishe kote mpaka waliopo hapa Dar-es-Salaam na mikoa yote ili warudi kwao hawa watu wamepata ajira mpaka serikalini wamlikwe na wale watakao waficha washughulikiwe kwa mjibu wa sheria,Bravo my president keep it up.
ReplyDeletenaomba kutofautiana na huyo ANAYEJIITA MZEE HAPO JUU, rais alisema wahalalishe ukaazi wao kwa mda wa week mbili.. So wameshindwa kufanya hivyo, unataka tuwambeleze, hakuna nchi rahis kuhalalisha ukaazi kama TZ. Hatuwezi kuacha waolewezi katika nchi yetu wamiliki ardhi yetu,,, TENA ningelipenda ambaye anataka kuishi tanzania inabidi AOE huku au aolewe huku, hiyo itafanya kundoa MATABAKA yao katika nchi yetu. Coz waruanda wanatabia ya kujiona superior kwenye Jamii zao.
ReplyDeleteHaiwezekani tukamlea adui watanzania, huwezi jua wao ndio wanaopeleleza Tanzania na kupeleka habari kwao. NARUDIA TENA INABIDI WASHUGHULIKIWE KWA HARAKA KABLA HAWAJAHARIBU TANZANIA YETU.
Maneno ya rais yalikuwa wazi tu ila waliyatafsiri vibaya na kuyajengea chuki, so wanataka sie tuchukue hatua gani kama sio kujihami, kwa njia yeyote tunayohisi italeta tafrani ndani ya tanzania yetu
wakaombe ukimbizi wa haki Europe.
ReplyDeletehakuna cha huruma wala staha. Rais ni taasisi ya juu katika nchi hii. Ni image ya nnchi na ndo amiri jeshi mkuu. Sasa anapotukanwa yeye maana yake tumetukanwa nchi nzima. Wanyarwanda wote waliungana na rais wao kutukana na kumbeza kiongozi wetu. Na vitisho juu. Sasa tutawezaje kulinda mipak yetu kama ndani ya mipaka yetu tumejaza wati ambao wapo royal kwa huyo adui. Watanzania tiache tabia ya kuchukulia vitu kirahisi. Muda tuliopo ni wa kuwa makini na mlengo mmoja wa kitaifa. Nchi yako ndo mama yako sasa fikiri,tenda na tafakari kizalendo. Wenye jukumu la utekelezaji wa hili mlitekeleze kwa weredi na ustaarab. Mungu ibariki tanzania
ReplyDeleteSasa hapa watanzania tunajifunza mengi, mshaona, Eeeee mkataa kwao ni mtumwa, si mnaona hizi adha, kwako ni kwako bwana hata kukiwa juu ya mti ni kwako, tena, unajidai na kwako, sasa mambo ya kuvurug amni huku nyumbani kwetu tanzania tukatae kabisa, iwe na hawa viongozi uchwala au laaa, ni moja tu kupalinda kwetu tanzania na kudumisha amani na umoja wetu daima, bila kupoteza amini yetu mungu ibariki tanzania na africa kiujumla
ReplyDeleteThis is interesting indeed......................How can illegal immigrants from Karagwe District enter Rwanda by crossing at Rusumo? (not Rusomo) Propaganda requires a lot of thinking and brain power. These editors at New Times need to work harder at propaganda!
ReplyDeleteMDAU UK
NASEMA KWA KIREFU KUTOKANA NA UMRI WANGU
ReplyDeletevitu hivi vimepinda na vina uozo ndani yake, inamisha kichwa chini kisha fumba mbacho usije badala ya kufikiri ukaanza kuhesabu mxhanga
1. Haiwezekani kwa Raisi mwenye akili kuumpa mtu mwenye watoto sita alio zaa hapa tanzania wiki mbili kujihalalisha. we hapo unapoongea au kuandika ni kwamba huna hata cheti cha kuzaliwa na nikikuomba utafute itakuchukua mwezi, lugha yako ndo inayo kuookoa usijiunge na hao.
2Raisi alikwepo wapi miaka yote kuwalinda hawa wanancchi wa kagera na hawa majambazi mpaka agombane na Kagame ndo aanze kuwalinda
3 Tanzania iliwapa uraia watu zaidi ya laki moja katika kambi za wakimbizi ndani yao walikua warundi na waburundi, je ni vigezo gani alivipitia kwa sio majambazi
4 Kama Amiri jeshi mkuu ambaye ndio watanzania tunamtegemea awe na kauli ya mwisho katika kuwahakikishia watanzania usalama wao, kwanini katikati ya hotouba yake akatishe na kuumpa mkuu wa majeshi atuhakikishie usalama wetu.
kuna mapungufu makubwa sana kwa kiongozi wetu huyu juu ya anavyolichukulia suala hili. Ni raisi safi na mnyenyekevu sana, ambaye najisifia nae dunia nzima, ila kwa swala hili amechokozwa lakini kalipuka sana, ushauri wangu kama Babu kwa raisi hivi ni vita vya kisaikolojia, tumia akili kupigana sio ghadhabu, najua tulikulea jeshini lakini usisahau ilikua ajira ya chama na haukua mwajeshi wa kulinda nchi