Msanii wa muziki wa kizazi kipwa, Ali Kiba, akiwapagawisha maelfu ya mashambiki wa muziki katika ukumbi wa Dar Live, Dar es Salaam, kwenye tamasha iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kusherekea sikukuu ya Idd siku ya Ijumaa. Wasanii wengine waliokuwa kwenye tamasha hilo ni TMK wanaume halisi na H-Baba.
T.M.K Wanaume Family wakikamua wakipagawisha maelfu ya mashambiki wa muziki katika ukumbi wa Dar Live, Dar es Salaam, kwenye tamasha iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kusherekea sikukuu ya Idd siku ya Ijumaa. Wasanii wengine waliokuwa kwenye tamasha hilo ni Ali Kiba na H-Baba.
Msanii wa muziki wa kisasa, H-Baba akipagawisha maelfu ya mashambiki wa muziki katika ukumbi wa Dar Live, Dar es Salaam, kwenye tamasha iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kusherekea sikukuu ya Idd siku ya Ijumaa. Wasanii wengine waliokuwa kwenye tamasha hilo ni Ali Kiba na TMK wanaume halisi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...