Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NEW DEAL mfafanue zaidi kwa Madiaspora ya Kuwa,
ReplyDelete1.Tanzania ya sasa sio msituni kama walivyoondoka miaka hiyo,
2.Kila kukicha tunapokea Madege ya misafara ya watu kutoka nchi mbalimbali wanakuja kuzisaka Fursa hizo, ambao hata unasaba na Tanzania hawana tofauti na ninyi mlivyo Madiaspora ambao huku ni kwenu kiasili,
3.Tusije kulaumiana mkija kutembelea wandugu zenu ukakuta Jirani yako Mzungu huko Majuu ndio Mwekezaji amenunua shamba lenu la Ukoo Kijijini kwenu na anaendesha Mradi Kisheria na Kihalali !!!