Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
This photo should be on billboard...for the love of our county....luv it!
ReplyDeletePia Wasindikizaji Star (Taifa Star)kila mtu anayewakilisha inchi yetu awe nayo.
ReplyDeleteLove is never forced. It comes naturally for a purpose. I simply have no option but to love Tanzania! I wish it would be truly peaceful!
ReplyDeleteI am madly in love with my Country Tanzania.
ReplyDeleteI love this country. It is better than no other country I have been to. Shame on those who want to tarnish the image of this beautiful country. GBA, GBT (God Bless......) You may not know well how beautiful it is until you in diapora.
ReplyDeleteasiyeipenda nchi hii ni mtumwa. na hatukulazimisha kuipenda nchi yetu Tanzania. najivunia utanzania wangu.
ReplyDeletemdau kama huna option hulazimishwi kuipenda you can always revoke your citizenship.
kwa kweli lazima uwe proud na nchi yako,sasa hv ninaishi zambia but ther is a big social difference as in tz
ReplyDeleteJe Hivi ni kwa nini kama hilo tangazo lingeandikwa na Wamarekani (Kwa hisani ya watu wa Wamarekani) au Wazungu wa Ulaya au hata Wachina wangeandika kwa Kiswahili lakini likiandikwa na sisi ngedere tunatumia Kiingereza?
ReplyDeleteHii picha na Ujumbe wake ni ya kuwapelekea ndugu zetu Madiaspora Majuu kuwakumbusha kuipenda nchi yetu na pia kuwataarifu Maadui zetu wa karibu!
ReplyDeleteTanzania FIRST!!!
ReplyDeletePicha hiyo nimefungua haraka haraka nimeona kama inasema TANZIA kumbe TANZANIA..duh!
ReplyDeleteSmile like this Tanzania !
ReplyDeleteCry like Rwanda !