Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha biashara ya Kilimo NMB, Robert Pascal (pili kushoto) alipotembelea banda la NMB katika maonyesho ya Taasisi zinazojishughulisha na kilimo. Maonyesho haya yameshirikisha wadau mbali mbali kutoka Afrika Mashariki. NMB ikiwa ni miongoni mwa wadau wakubwa wa Kilimo nchini

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipitia kitabu chenye maelezo ya bidhaa za Kilimo zinazo tolewa na NMB huku akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha biashara ya Kilimo NMB, Robert Pascal (pili kushoto) alipotembelea banda la NMB katika maonyesho ya Taasisi zinazojishughulisha na Kilimo uliofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia kutoka kushoto ni Meneja Uhusiano kitengo cha Kilimo Christopher Mwalugenge na Meneja Uhusiano wa wateja wakubwa, Shilla Senkoro.

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na Meneja Uhusiano kitengo cha Kilimo Christopher Mwalugenge alipotembelea banda la NMB katika maonyesho ya Taasisi zinazojishughulisha na Kilimo uliofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Kilimo wa NMB Robert Pascal na Meneja Uhusiano wa wateja wakubwa Shilla Senkoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...