Home
Unlabelled
chemsha bongo...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hili tairi inawezekana limeunganishwa kwa moto sehemu ya juu ambayo hatuioni vizuri, baada ya kukatwa na kuwekwa kwenye mti huu kisha kuunganishwa tena, or inawezekana limekuwepo toka mti huu ni mchanga kabisa, lakini possibility ya pili ina utata maana ungeona hali ya kupauka kwa gurudumu baada ya kupigwa jua kwa muda mrefu toka mti ungali mchanga mpaka umefikia hapo, ni labda miaka minne au zaidi
ReplyDeleteHuo mti ulipokuwa bado mdogo hilo tairi lilitumika kuukinga usipate misukosuko kama kukanyagwa na wapiti njia n.k. hivyo ukaendelea kukua tairi likiwa hapohapo hadi leo
ReplyDeletewakati mti ukiwa mdogo unakua ndipo tairi liliwekwa, kwahiyo umekua mpa umefikia hapo bado lipo, tairi haliozi litaendelea kuwepo
ReplyDeletewakati mti ukiwa mdogo unakua ndipo tairi liliwekwa, kwahiyo umekua mpa umefikia hapo bado lipo, tairi haliozi litaendelea kuwepo
ReplyDeletePHOTOSHOP image from Michuzi phot-studio Ltd
ReplyDeletehilo taili limepakwa rangi nyeusi kutoa uchakavu wa jua,au ni kweli limeungwa huko pembeni baada ya kulivisha huwo mti,,,ama huwo mtu uliletwa hapo ukiwa tayali umeishakuwa mkubwa na ukavishwa hilo taili kupitia katika mizizi yake,
ReplyDeleteAhlam London
naenda kunywa kimpumu.
ReplyDeletemdau wa kwanza hivi kweli unafikiri watu huku wana muda wa kupoteza kufanya hilo ulilosema? jambo la pili wewe umewahi kuchoma moto tairi au unabwabwaja tu?
ReplyDeletehilo tairi limewekwa wakati mti bado mdogo... 0773564019
ReplyDeletejibu rahisi sana, ivi wewe ukitaka kuvaa fulana una fanya vipi? huo mti matawi yake yalikunjwa pamoja halafu hilo tairi likavishwa juu, kama vile mtu akivua chuppi bila ya kuvua suruali.
ReplyDeleteMie kwa fikra zangu, nadhani hilo tairi limekatwa likavishiwa kwenye hilo shina la huo mti, then ule upande uliokatwa ndio umefichika na hilo shina la mti kwa nyuma, tunaona shina kwa mbele upande uliaokatwa umekingika kwa nyuma, hivyo inapelekea kuonekana kama tairi hilo limeingizwa ima mti ulipokuwa mdogo au baada ya kupunguzwa matawi yote, wakati huenda ikawa hivyo sivyo kabisa.
ReplyDeletetoa jibu kupitia anuani pepe ya hapo kwenye tangazo,wote mlioandika majibu mmekosea kujibu hapa.
ReplyDeleteHili tairi ni uthibitisho tosa wa uchafuzi wa mazingiza,maana haliozi toka lilipowekwa wakati mti bado mdogo hadi sasa,na litaendelea kuwepo
Kwenye tairi mimi simo, ila munaojibu zingatieni vigezo na masharti hiyo T-shirt inaweza kuja Pemba halafu mukaishia kusema tumeroga.
ReplyDeleteNakupa mji, Mtwara.
ReplyDeleteKWANI HILO NI TAIRI AU GURUDUMU?Ukijibu swali langu Michuzi na mm ndo nitajibu la kwako.
ReplyDeleteTairi limewekwa wakati mti ulipokuwa mdogo,mti umeendelea kukua tairi likiwepo
ReplyDeleteAkili zangu kibongobongo hilo Tairi watu pia wangeshabeba labda limekatwa hapo kwa mshona viatu wa kienyeji kalishona na waya uwapande wapili huko! Mie naona mwenye jibu atatokea sehemu hizi Mwanza,au Tanga,au Pemba wakijibu hawa watu wataanza oh wameloga tehteh! MZ
ReplyDeleteTairi liliwekwa wakati mti uanoteshwa.
ReplyDeleteHilo tairi halipo kamili limekatwa halafu likavishwa katika huo mti na hiyo sehemu iliokatwa ni hiyo sehemu iliojizinga na Camera:) USA.
ReplyDeletemti umezaa tairi
ReplyDelete