DAYNA

Msanii wa kizazi kipya Dayna ambaye hivi karibuni kumeibuka malumbano yanayodai Diamond kutumia beats ya wimbo wake wa Naumia alioutengeneza kwa prodyuza Shedy na Prodyuza alipoulizwa alisema Dayna alikubali Beats za wimbo wake zitumiwe na Diamond huku akidai kwamba Dayna alikua hajalipia beats ya wimbo wake na hivyo kuamua kumuuzia Diamond ambaye nae bila kuchelewa ameishatoa wimbo wake wa My number one ambao unatamba sasa hivi kwenye vituo vya radio na vituo vya luninga.

Msanii Dayna alipofanya mahojiano na Vijimambo blog alikua na haya ya kusema Msikilize

hii ni demo ya wimbo wa Dayna ambao unafanana na wimbo wa Diamond My number one USIKILIZE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. DILLIC? absolutely NO!

    ReplyDelete
  2. yaani maji na moto wimbo wa Diamond mzuri sana

    ReplyDelete
  3. tafuta beat nyingine

    ReplyDelete
  4. Mbona havikufanana, au mimi nimekosea?

    ReplyDelete
  5. Dayna mimi msikilizaji wa miziki ya kila aina na naona beat a.k.a biti za wimbo wako inafanana na biti za wimbo 'Msiabudu Amerika' wa Pastor Faustin .S Munishi sikiliza hapa: http://www.youtube.com/watch?v=2IJx9Py3KbQ - TRACK: MSIABUDU AMERIKA (Do not worship America)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...