Aliyekua Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Dr Stergomena Lawrence Tax, ambaye sasa ni Katibu Mtendaji wa
SADC, akimkabidhi ofisi Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo Ndugu Joyce K.G
Mapunjo.
Katibu Mtendaji wa SADC Dr Stergomena Lawrence Tax akipongezwa na
wawakilishi wa Makatibu Wakuu wanawake
Katibu Mtendaji wa SADC katika picha ya pamoja na
Katibu Mkuu wa WIzara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ndugu Joyce K.G
Mapunjo na wawakilishi wa Makatibu Wakuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...