Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi (kulia), ambaye ni mwasisi wa shindano la kutuma ujumbe kwa njia ya Tweet kwenye akaunti yake ya tweeter@ regmengi, akimkabidhi zawadi ya sh.300,000 Ombeni Kaaya,baada ya kuwa mshindi wa tatu wa mwezi Agosti, katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya IPP, 

Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi (kulia), ambaye ni mwasisi wa shindano la kutuma ujumbe kwa njia ya Tweet kwenye akaunti yake ya tweeter@ regmengi, akimkabidhi zawadi ya sh. 500,000, Susana Senga baada ya kuwa mshindi wa pili wa mwezi Agosti, katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya IPP,
Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi (kulia), ambaye ni mwasisi wa shindano la kutuma ujumbe kwa njia ya Tweet kwenye akaunti yake ya tweeter@ regmengi, akimkabidhi zawadi ya sh. milioni 1, Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es Salaam, Lilian Wilson baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa mwezi Agosti, katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya IPP. Wanaoshuhudia ni mshindi wa pili, Suzana Senga aliyepata sh. 500,000 na Ombeni Kaaya aliyeshika nafasi yatatu na kupata sh 300,000.
Mengi akifafanua jambo mbele ya wanahabari waliofika kuripoti tukio hilo.
Mengi akielezea umuhimu wa vijna kubuni wazo zuri la biashara.
PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...