Dkt.Elmi na Mkewe almaarufu kwa jina la Anti Ashura wakiwa katika picha ya kumbukumbu kabla ya tukio adhimu la kukata keki
 Dkt.Elmi akimlisha keki ya upendo na kwa madaha kabisa,Mkewe almaarufu kwa jina la Anti Ashura  jioni ya leo.
Lisha nikuleshe ndiyo ishara ya upendo
 Dkt.Elmi akikata keki tayari kwa kumlisha Mkewe almaarufu kwa jina la Anti Ashura na wegeni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye tafrija hiyo,kulia kwake ni Balozi wa Jamhuri ya Djibouti-Tanzania, Saidi Amin Shamo akiwa na MKewe Mariam Shamo.
 Anti Ashura akiwashukuru wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye hafla ya Mumewe Dkt.Elmi aliyekuwa akitimiza miaka 80 tangu kuzaliwa kwake ikiwemo  sambamba na kusherehekea miaka 20 ya ndoa yao.
 Baadhi ya Wageni waalikwa wakijadiliana jambo kwenye hafla hiyo iliyofanyika ndani ya kiota kipya kabisa cha maraha,Escape One kilichopo nyuma ya Carnival,njia panda Makao makuu ya Red Cross,jijini Dar.
 Dkt.Elmi akiwa na Mkewe almaarufu kwa jina la Anti Ashura akiwa amepozi na Balozi wa Jamhuri ya Djibouti-Tanzania, Saidi Amin Shamo akiwa na MKewe Mariam Shamo.
 Dkt.Elmi akiwa na Mkewe almaarufa kwa jina la Anti Ashura akiwa katika picha ya kumbukumbu na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga akiwa na Mkewe,CEO wa kampuni bingwa ya Burudani ya hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd,Bi.Johayna Kusaga
 Dkt.Elmi na Mkewe almaarufu kwa jina la Anti Ashura wakiwa picha ya pamoja ya ndugu jamaa na marafiki kwenye hafla hiyo iliofanyika usiku wa leo  ndani ya kiota kipya kabisa cha maraha,Escape One kilichopo nyuma ya Carnival,njia panda Makao makuu ya Red Cross,jijini Dar.
Anti Ashura na Wanae katika picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...