NI MIAKA KUMI NA MBILI(13) TOKA TULIPOONDOKEWA NA MAMA YETU MPENZI ROSE MBWEZELENI(MAMA JOHN) NI KWELI UMETUTOKA KIMWILI LAKINI KIROHO BADO UPO NASI.KUMBUKUMBU YA UPENDO WAKO IENDELEE KUWA DIRA KWA SIE AMBAO UMETUACHA.
DAIMA UNAKUMBUKWA NA WANAO JOHN,SHABAAN(KING),HAPPY, KADRI NA KAKA NA DADA ZAKO PAMOJA NA NDUGU NA JAMAA WOTE.
MUNGU AENDELEE KUIWEKA ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...