Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda wanne kushoto akiwa na bingwa wa dunia wa mchezo wa masumbwi nchini Fransic Cheka baada ya kukaribishwa bungeni mjini Dodoma wengine kushoto Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' na bingwa wa mabara Fransic Miyeyusho kulia ni promota wa mchezo wa masumbwi nchini Mohamed Bawaziri, na promota wa mpambano wa ubingwa wa Dunia ambao cheka anao kwa sasa Catherini Matili .
MBUNGE WA KOROGWE VIJIJINI PROFESA MAJI MAREFU AKIWA NA MABINGWA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI |
Bondia fransic Cheka akiwa na wabunge mbalimbali pamoja na mwanaseria mkuu wa Selikari le alipotembelea bungeni |
Waziri wa Wizara ya Habari ,Vijana,utamauni na michezo, Dkt. Fenella Mukangara (wa pili kushoto) akiwa na Rais wa TPBO Yassini Abdallah pamoja na mapromota Mohamedi Bawazir kulia na Catherini Matili |
Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda katikati akiwa na mabondia Francis Miyeyusho kushoto na Francis Cheka wakati walipo tembelea bungeni Dodoma kwa ajili ya kutambua mchango wao na kuwapongeza |
MOROGORO kwa vipaji wamejaliwa sn,Afande sele,Stamina,Mc koba,Bele 9,hao music,Football Hamisi Tobias GAGA (RIP)alikua kinara,NGUMI ndio huyo CHEKA Moro oyeeeee,naitwa mdudu kakakuona mwenye macho ma3
ReplyDeleteUbunge afadhali wangepewa watu kama Cheka na Miyeyusho kuliko kupewa Wasanii wa Muziki !!!
ReplyDelete